Search This Blog

Thursday, September 23, 2010

READING_DIRECTION FOR MANGA

Hapa tunaweza kuona ni jinsi gani MANGA inavyosomwa...ni tofauti na magazine zakatuni za hapa kwetu na Marekani kwa ujumla. Lakini tunaona mabadiliko, inafurahisha kwa kweli.

KUCHORA MIKUNJO YA NGUO_TUTORIAL

Mara nyingi tumekuwa tukichora vizuri tu...lakini, tatizo linakuja pale ambapo mtu anataka ku-design mikunjo ya nguo za MANGA_CHARACTER wake. NO WORRIES...chukua mafunzo hapa sasa.

Wednesday, September 15, 2010

MIKONO na VIGANJA_TUTORIAL

hii sasa ni aina ya viganja vya mikono vya binadamu halisi.

 
Mfumo wa viganja vya binadamu ambaye ni kama mnyama.
Ni sehemu ambayo kusema ukweli ni ngumu sana kwa wachorajji wengi. Lakini shaka pembeni, jifunze sasa.

Saturday, September 11, 2010

MANGA CHIBI_CHARACTER POSES AND FACIAL EXPRESSIONS

Image by MoonlitTiger
Nimeona niweke hii picha yenye maelekezo kwa ajili ya kujifunza kuchora MANGA aina ya CHIBI ambayo kwa lugha ya kiingereza ni SD_Super Deformed.

POSING TUTORIAL_TENA

Njia za kubuni mapozi_Elewa mfumo wake.
Mara nyingi imekuwa ni vigumu sana kwa wachoraji kubuni mapozi ama mkunjo wa sehemu ya mwili wa mwanadamu wakati wa kuchora vikaragosi kutimia MANGA, lakini hii ni moja ya wakombozi...tumia sasa.

MANGA CHIBI_CHARACTER

Chibi Manga_Sasa waweza kutumia maelekezo haya kwa ajili ya kuchora MANGA mfumo wa CHIBI.
Uzuri wa MANGA ndo huu hapa, kuna njia nyingi sana za kukuwezesha wewe kama mchoraji kutengeneza ama kubuni mchoro wako. Moja wapo ni hii hapa.

Thursday, August 5, 2010

Female Pose illustration

Female poses
This here is one of the illustrations that i remember using drawing a lady lying on her bed thinking (above) and the other one reading a book (below).